- 94 viewsWakazi wa kaunti ya Kiambu, Wajir na Vihiga wamelalamikia ushuru wa juu wanaotozwa wananchi wakshinikiza kupunguzwa kwa bei ya bidhaa na mafuta . Kwenye vikao vya kutoa maoni kuhusu mswada w afedha wa mwaka wa 2026, wakazi hao wamepinga kuwepo kwa ushuru mpya wa bidhaa na huduma kukiteta kuwa gharama ya maisha iko juu sana