- 2,651 viewsDuration: 3:25Wakazi wa Kibra walimiminika katika uwanja wa Kamukunji kumuomboleza Raila Odinga baada ya taarifa kuhusu kifo chake kuenea katika eneobunge hilo. Aidha, masomo yalisitishwa katika shule ya Raila Education Center, huku walimu, wanafunzi na wazazi wa shule hiyo wakimuomboleza mwanzilishi wa shule hiyo