- 1,121 viewsMaelfu ya wakaazi wa Kihoto mjini Naivasha kaunti ya Nakuru wanaishi kwa hofu na wasiwasi kutokana na mafuriko yaliosababishwa na kufurika kwa Ziwa Naivasha. Baadhi yao wamelazimika kuhama huku wengi wakilemewa na gharama ya kutafuta makao mbadala