Wakazi wa kijiji cha Gesabakwa walalamikia uhalifu

  • | Citizen TV
    212 views

    Wakazi wa kijiji cha Gesabakwa maeneo ya Magena kule Kisii wamefanya maandamano ya amani hadi katika makao makuu ya polisi eneo la Kenyenya kulalamikia utovu wa usalama unaosababisha watu kuuwawa kinyama.