Wakazi wa kijiji cha Gitithia walalamikia ukosefu wa nguvu za umeme kwa zaidi ya miezi miwili

  • | NTV Video
    116 views

    Wakazi wa kijiji cha Gitithia eneo bunge la lari kaunti ya Kiambu, wanalalamikia ukosefu wa nguvu za umeme kwa zaidi ya miezi miwili sasa jambo ambalo limeathiri pakubwa biashara nyingi na vilevile nyumbani mwao, tetesi zao kwa viongozi wa sehemu hiyo zikisema wamegonga ukuta sasa wakishindwa watamlilia nani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya