Wakazi wa kijiji cha Kilole huko Kinondo walalamikia utovu wa usalama

  • | Citizen TV
    Wakazi Wa Kijiji Cha Kilole Eneo La Kinondo Kaunti Ya Kwale Wanalalamikia Ongezeko La uhalifu Katika Eneo Hilo. Wakazi Hao Wanadai Kuhaingaishwa Na Baadhi Ya Vijana ambao huiba Mazao Shambani Na Mifugo Mchana.