Wakazi wa Kilingili wailaumu serikali ya kaunti ya Vihiga kwa kushindwa kusafisha soko la Kilingili

  • | Citizen TV
    422 views

    Wakazi wa Kilingili katika kaunti ya Vihiga wanailaumu serikali ya kaunti ya Vihiga,wakidai imeshindwa kurekebisha miundombinu katika soko la kilingili.