11 Mar 2026 8:02 pm | Citizen TV 354 views Duration: 1:46 Wakazi wa eneo la Kipsitet kaunti ya Kericho wanataka serikali kutengeneza daraja la kipsitet kufatia ajali ya barabarani mapema leo iliyosababisha kifo cha mvulana wa miaka tisa.