Wakazi wa Kisumu waandaa mandamano ya amani hadi katika afisi ya naibu kamishna wa kaunti hiyo

  • | K24 Video
    19,477 views

    Siku moja baada ya kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga kutangaza rasmi kuanza kwa maandamano ya kushinikiza serikali ya kenya kupunguza gharama ya maisha, wakazi Kisumu waliandaa mandamano ya amani hadi katika afisi ya naibu kamishna wa kaunti hiyo, Hussein Alaso. hatahivyo makabiliano yalizuka pale polisi walipowazuia waandamanaji hao waliongozwa na naibu gavana wa kisumu Mathews Owili kukaribia ikulu ndogo ya Kisumu.