Wakazi wa Kisumu waandaliwa usiku wa burudani na Ramogi Tv

  • | Citizen TV
    208 views

    Kampuni ya Royal Media iliwaandalia wapenzi wa kituo cha televisheni cha Ramogi Tv burudani ya kukata na shoka ya Ramogi Night mjini Kisumu. Ramogi Tv ni miongoni mwa vituo vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services na hupeperusha matangazo yake kwa lugha ya dholuo