Wakazi wa Kiunga, Lamu walalamikia barabara mbovu

  • | KBC Video
    18 views

    Wakazi wa kijiji cha Kiunga katika kaunti ya Lamu wameeleza kutoridhishwa na muundo mbinu duni ambao unatatiza shughuli za usafirishaji wa mizigo na watu.Wakazi hao wanasema hali hiyo imekuwa mbaya zaidi kufuatia kufungwa kwa barabara ya kutoka Mokowe kupitia Bargoni kuelekea Kiunga. Mwakilishi wanawake bungeni katika kaunti hiyo, Muthoni Marubu amehimiza serikali ya kitaifa kushirikiana na ile ya kaunti kukarabati barabara hiyo ili kuimarisha usalama na kupiga jeki uchumi wa eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive