- 238 viewsDuration: 1:44Wakazi wa maeneo ya Kinango na Kwale mjibi wanaitaka mamlaka ya barabara Kuu nchini (KeNHA) kuharakisha ukarabati wa daraja la Marere lililovunjika siku mbili zilizopita ili kurejesha usafiri wa kawaida kati ya Kinango na Kwale.