Wakazi wa Laikipia Magharibi walifanya maandamano ya amani kulalamika kuhusu visa vya ujangili

  • | KBC Video
    25 views

    Wakazi wa maeneo ya Olmoran, Rumuruti na maeneo jirani ya eneobunge la Laikipia Magharibi walifanya maandamano ya amani katika wadi ya Olmoran kulalamika kuhusu visa vya ujangili na wizi wa mifugo katika maeneo hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive