Wakazi wa Lamu wahimizwa kufichua visa vya dhuluma za kijinsia

  • | KBC Video
    6 views

    Viongozi katika kaunti ndogo ya Lamu Mashariki wanahimiza wakazi kukoma kuwaficha washukiwa wa visa vya dhuluma za kijinsia ambavyo vimeongezeka katika eneo hilo. Aidha kuna madai kwamba maafisa wa usalama wanatepetea kunakili visa vya dhuluma za kijinsia na hivyo kusababisha waathiriwa kutopata haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive