- 277 viewsDuration: 3:04Wakazi katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wamekashifu kitendo cha kukatazwa kuujenga upya msikiti wa Anisa ambao ulijengwa zaidi ya miaka 200 na makavazi ya Lamu. Inaarifiwa kuwa msikiti huo uko ndani ya majengo na sehemu iliyohifadhiwa na UNESCO kama turathi za kimataifa na hivyo haupaswi kukarabatiwa.