Wakazi wa Lamu wapata kifaa cha upasuaji

  • | Citizen TV
    170 views

    Ni afueni kubwa kwa wagonjwa wa Lamu wanaohitaji huduma za upasuaji kwani sasa hawatalazimika kusafiri mbali kutafuta huduma hizo. serikali ya kaunti ya Lamu imewekeza kwenye kifaa cha kuwafanya wakazi upasuaji katika hospitali kuu ya King fahad Kisiwani Amu.