Wakazi wa Likuyani waandamana kwa hasira

  • | Citizen TV
    293 views

    Wakazi wa eneo la Seregeya katika kaunti ndogo ya Likuyani wameandamana kwa hasira wakilalamikia hali mbaya ya usalama ambayo imekuwepo kwa zaidi ya miezi miwili sasa.