Wakazi wa Limuru waandamana nyumbani kwa Naibu Chifu baada ya mwanawe kupatikana ameuawa shambani

  • | TV 47
    52 views

    Wakazi waandamana hadi nyumbani kwa Naibu Chifu Limuru, Kiambu.

    Hii ni baada ya mwanaume kupatikana ameuawa shambani mwake.

    Marehemu Nemwel Ocharo anadaiwa kuiba mahindi shambani humo.

    Wakazi wamshtumu Naibu chifu kwa madai ya kufanya mauaji hayo.

    Naibu Kamshina asema uchunguzi unaendelea kubaini tukio hilo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __