Wakazi wa Machakos waonywa dhidi ya mafuta ghushi ya msandali

  • | Citizen TV
    1,306 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Machakos wameonya wakaazi wa eneo hilo kuhusiana na sakata ya uuzaji wa mafuta ghushi ya msandali. Hii ni baada ya mafuta hayo bandia kunaswa katika eneo hilo, afisa mkuu wa polisi wa Machakos Fredrick Ikaal anasema kuwa kumeripotiwa visa vingi vya ulaghai huu na wanaendelea na uchunguzi. Sasa Ikaal akipiga marufuku uuzaji wa mafuta hayo ya msandali kwani hairuhusiwi nchini. Wakazi wametakiwa kuwa waangalifu