Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Machakos wapinga ujenzi wa kiwanda cha saruji

  • | Citizen TV
    981 views
    Duration: 1:36
    Wakazi wa Itimboni, eneo la Makutano katika kaunti ya Machakos, wamepinga mpango wa kampuni ya Lambodat Lukenya kujenga kiwanda cha saruji karibu na makazi yao.