Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Malaba kaunti ya Busia wanaishi kwa hofu

  • | Citizen TV
    357 views
    Duration: 3:58
    Wakazi wa mji wa mpakani wa Malaba wamelalamikia kudorora kwa usalama katika mji huo. visa vya wizi vimeongezeka mno na kuwatia hofu wafanyabiashara na wageni mjini humo...Wakazi hao wamewataka maafisa wa usalama kupiga doria usiku ili kuwanasa wahalifu.