Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa marsabit walalamikia huduma duni za kina mama wajawazito eneo hilo

  • | Citizen TV
    68 views
    Wakaazi wa Shurr eneo bunge la North Horr, kaunti ya Marsabit, wamelalamikia ukosefu wa huduma za kina mama wajawazito,katika hospitali ya Shurr,hii ni licha ya Hospitali hiyo kuwa na chumba maalum cha kutoa huduma hizo kwa kina mama wajawazito. Ukosefu wa vifaa maalum kukitajwa kuchangia masaibu hayo na kuwalazimu akina mama wajawazito kusafiri zaidi ya kilomita arubaini ili kupata huduma hiyo muhimu