Wakazi wa Matungu wameonywa kwa kutowapeleka wanao shuleni.

  • | West TV
    24 views
    Afisa mkuu wa elimu eneo bunge la Matungu kaunti ya Kakamega Josephine Walela amewataka wazazi khakikisha wanao wanapata elimu akiwashtumu baadhi ya wazazi wanaosalia na wanao nyumbani badala ya kuwapeleka shuleni.