Wakazi wa Miendo na Matisi wataka manaibu wa chifu kuajiriwa

  • | Citizen TV
    48 views

    Wakaazi wa maeneo ya Miendo na matisi Katika eneo Bunge la webuye magharibi wanataka tume ya huduma Kwa Umma psc kuharakisha kuwapa Barua za uajiri manaibu chifu wa maeneo hayo ili wapate huduma zinazostahili