Wakazi wa Mji wa Nunguni, katika eneo la Kilome, wakabidhiwa jumla ya hati miliki 104 za ardhi

  • | NTV Video
    158 views

    Wakazi wa Mji wa Nunguni, katika eneo la Kilome, walikabidhiwa jumla ya hati miliki 104 za ardhi kutoka kwa Serikali ya Kaunti ya Makueni hatua iliyoleta furaha, matumaini na nafuu kubwa kwa familia ambazo zimekuwa zikiishi kwa miaka mingi bila kutambuliwa rasmi kama wamiliki halali wa ploti hizo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya