13 Oct 2025 10:12 am | Citizen TV 106 views Duration: 2:07 Wakazi zaidi ya 300 wa Mkocheni kaunti ya Taita Taveta waliofurushwa kutoka ardhi ya ekari elfu moja wameelezea changamoto wanazopitia huku watoto na wazee wakiendelea kuathirika kutokana na baridi kali nyakati za usiku.