Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mlolongo Phase Four wahofia usalama baada ya mfanyabiashara kutekwa nyara

  • | Citizen TV
    846 views
    Duration: 2:03
    Wakazi wa Mlolongo Phase Four wameeleza hofu kuhusu usalama baada ya mfanyabiashara wa eneo hilo, Jimmy Mutava, kutekwa nyara na watu wasiojulikana waliokuwa wamejihami kwa bunduki.