Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mombasa, Kisii na Homa Bay wapata chanjo ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI

  • | Citizen TV
    732 views
    Duration: 2:46
    Wakazi wa kaunti za Mombasa, Kisii na Homa Bay walioko kwenye hatari kubw aya maambukizi ya virusi vya ukimwi wamepata chanjo ya kuzuia maambukizi. Maafisa wa afya katika kaunti hizo wanasema kuw ahatua hiyo itazuia maambukizi mapya. Waliopokea chanjo hiyo wana matumaini makubwa huku wakisema dozi hizo zitapunguza unyanyapaa.