- 279 views
Wakaazi mjini Mombasa wakiwa na wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu wamefanya maandamano ya kuishinikiza serikali ya kaunti kukamilisha ujenzi wa uwanja wa michezo wa Mombasa. Wanalalamikia ukosefu wa uwanja katika kaunti hiyo, na hivyo basi kulemaza ukuzaji wa talanta ya michezo. Wanasema ni zaidi ya miaka kumi tangu kubuniwa kwa mpango wa ujenzi. Kadhalika gavana Abdulsmmad Nassir alizuru uwanja huo na kuhaidi kwamba tayari kuna uwekezaji umepangiwa uwanja huo. Kevin Mutai ana maelezo zaidi….
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Wakazi wa Mombasa waandamana wakishinikiza serikali kukamilisha ujenzi wa uwanja wa michezo
- - Duniani Leo ››
- 11 Aug 2025 - Elevated prolactin during pregnancy can reduce intimacy.
- 11 Aug 2025 - The Devolution Conference 2025 kicks off tomorrow and will run till Friday.
- 11 Aug 2025 - NCIC says hate speech in rallies undermines leadership and violates constitutional values.
- 11 Aug 2025 - 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity, one day at a time
- 11 Aug 2025 - Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
- 11 Aug 2025 - Between refuge and ruin: How Dadaab's survival battle is fuelling an eco crisis
- 11 Aug 2025 - Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
- 11 Aug 2025 - As the body enters prolonged nutrient deprivation, the visible and invisible signs of starvation intensify.
- 11 Aug 2025 - Her loans, care work, and sacrifices earn her equal share of matrimonial property after divorce.
- 11 Aug 2025 - Mr Gachagua accuses the National Assembly of abusing the judicial process and undermining the integrity of the Supreme Court.