Wakazi wa Mombasa wahakikishiwa usalama

  • | KBC Video
    4 views

    Mrakibu wa eneo la Pwani John Elungata amesema maafisa wa usalama katika eneo hilo wako tayari kwa uchaguzi mkuu ujao. Mrakibu huyo ambaye aliandamana na kamanda wa polisi wa eneo hilo Titus Karuri alitoa wito kwa wanasiasa kujiepusha na siasa za migawanyiko na badala yake wahubiri amani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Amani #Mombasa