Wakazi wa Mombasa wanalalamikia huduma hafifu

  • | Citizen TV
    161 views

    Siku moja baada ya Rais William Ruto kutetea bima ya afya kwa wote maarufu kama SHA, Wakenya bado wanataabika kutafuta matibabu katika hospitali mbalimbali za umma