Wakazi wa Muchatha waandamana kulalamikia ongezeko la ukosefu wa usalama Kiambu

  • | NTV Video
    28 views

    Wakazi wa Muchatha Kiambaa kaunti ya Kiambu wameandamana wakilalamikia ongezeko la ukosefu wa usalama chenye imesababisha kuwawa kinyama kwa watu zaidi ya watano kwa kipindi cha miezi mbili.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya