Wakazi wa Mugirango kusini wamefanya maandamano

  • | Citizen TV
    1,381 views

    Wakazi wa Nyamarambe eneo bunge la Mugirango Kusini wamefanya maandamano kulalamikia wahudumu wa afya kusitisha huduma zao katika hospitali ya Nduru kwa takriban siku tano sasa. Wahudumu hao wa afya walichukua hatua hiyo baada ya wenzao kushambuliwa na wakazi na gari lao kuharibiwa walipokuwa wakihamisha vifaa vya matibabu kutoka hospitali hiyo kupeleka Nyaribari Chache