Wakazi wa Mwamba eneo la Lumakanda wadai visa vya wizi vimeongezeka maradufu eneo hilo

  • | West TV
    229 views
    Mali ya wizi imepatikana jumatano hii mchana ikiwa imefichwa kwenye shamba la mkazi mmoja katika kijiji cha mwamba wadi ya lumakanda kaunti ndogo ya lugari