Wakazi wa Nairobi wanalalamikia wizi wa magari

  • | Citizen TV
    6,613 views

    Wakazi katika mitaa tofauti ya jiji la Nairobi wanalalamikia kukithiri kwa visa vya wizi wa magari. Wizi huo ambao umekita mizizi hasa katika mitaa ya Buruburu na Utawala unaonekana kulenga aina maalum ya magari kama vile Toyota Fielder, na Toyota Axio. Magenge hayo yamekuwa yakiiba magari yakiwa yameegeshwa.