- 276 viewsDuration: 3:52Wakazi wa Kapsabet wamewakosoa vikali wanasiasa wanaodaiwa kutumia makundi ya wahuni kuvuruga mikutano ya kisiasa ya wapinzani wao. Wakazi hao wanasema tabia hiyo inaleta hofu miongoni mwa wananchi, kuhatarisha usalama wa jamii na pia kudhoofisha mchakato wa kidemokrasia hasa katika kipindi cha kisiasa na uchaguzi.