Wakazi wa Nguni na Nuu, Kitui wauishi na wasiwasi kutokana na hali mbaya ya daraja la mto Enziu

  • | KTN News
    894 views

    Wakazi wa eneo la Nguni na Nuu kaunti ya Kitui wanaendelea kuishi na wasiwasi kutokana na hali mbaya ya Daraja la mto Enziu huku msimu mvua ya vuli ukikaribia. Daraja hilo ambalo lilisababisha vifo vya watu 32 mwezi Disemba mwaka uliopita bado halijakarabatiwa licha ya ahadi kutolewa na serikali

    Join this channel to get access to perks: https://www.youtube.com/channel/UCKVsdeoHExltrWMuK0hOWmg/join

    Watch KTN Live https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Watch KTN News https://www.standardmedia.co.ke/ktnnews/ Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews