13 Oct 2025 10:37 am | Citizen TV 191 views Duration: 1:36 Baadhi ya vijana kutoka eneo la Gusii wamesema mwendo mrefu kutoka nyumbani kwenda vituoni vya kusajiliwa kuwa wapigakura umechangia idadi ndogo ya Wakenya wanaojitokeza kusajiliwa.