Wakazi wa oloolua Kajiado Kaskazini waitaka serikali kuzibua mitaro

  • | Citizen TV
    252 views

    Wakaazi wa kianugu na maeneo mengine katika wadi ya Oloolua Kajiado kaskazini wanaitaka serikali ya kaunti ya kajiado kutumia pesa zilizotengewa dharura kuwasaidia kufungua mitaro ya kuelekeza maji ya mvua, ambayo yamefunga barabara ya kutoka Ngong, kuelekea Oloolua hadi katika barabara ya kuelekea Gataka.