Wakazi wa Ombaka Nyando wahofia mafuriko ya El Nino

  • | Citizen TV
    1,292 views

    Wanakijiji wa Ombaka eneobunge la Nyando sasa wamezishutumu idara za serikali kwa kukosa kuwekeza katika miundombinu ya kukabiliana na mafuriko yaliyobashiriwa kutokana na mvua kubwa ya elnino inayotarajiwa mwezi huu. Wanakijiji hao wakilalama kuwa sehemu iliyotengwa kwa uhamiaji wakati wa mafuriko ni ndogo sana, na huenda ikasababisha mkurupuko wa magonjwa wakati wa mafuriko