Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Ratta Kisumu wakadiria hasara baada ya mashamba yao kuvamiwa na nyani

  • | Citizen TV
    1,153 views
    Duration: 2:25
    Wakazi wa kijiji cha Ratta kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya mashamba yao kuvamiwa na nyani. Mali ya thamani sasa inaozea shambani, kwani nyani hao wanapura baadhi ya mimea na kusababisha uharibifu