Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Samburu wana wasiwasi kuhusu matumizi ya fedha za bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025

  • | Citizen TV
    314 views
    Duration: 3:14
    Wakazi wa kaunti ya Samburu wameibua wasiwasi kuhusu matumizi ya fedha za bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025, wakihofia kufujwa kwa fedha za umma. Katika kikao cha kupokea maoni kuhusu bajeti ya mwaka ujao wa kifedha, wakazi wameshinikiza uwajibikaji zaidi.