Wakazi wa Samburu watupilia mbali ufugaji wahofia kushambuliwa na wezi wa mifugo

  • | KBC Video
    5 views

    Kwa miaka mingi kaunti ya Samburu imekuwa ngome ya wizi wa mifugo. Kero hili limehujumu usalama na kuhatarisha maisha ya wakazi wa kaunti hiyo ambao pia wanakumbana na tatizo la uhaba wa chakula kwani wao hutegemea nyama, maziwa na damu ya mifugo. Kutokana na hayo wafugaji katika eneo hili wamebadili mkondo na kukumbatia kilimo cha viazi ili wawe na chakula cha tosha na kujikimu maishani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #farming #samburu