Wakazi wa Siginga Budalangi waanza kuhama maeneo yao kutokana na hofu ya Elnino

  • | West TV
    76 views
    Eneo bunge la Budalang’i katika kaunti ya Busia likiwa miongoni mwa maeneo ambayo idara ya utabiri wa hali ya anga imeonya kuwa huenda likaathiriwa vibaya na mvua ya el nino, baadhi ya familia zinazoishi kando kando ya mto nzoia wanajiandaa kugura makazi yao, huku wakihimiza serikali kuwatafutia suluhu. Hata hivyo serikali ya kaunti ya busia imeweka mikakati ya kukabili athari za mvua ya el nino ikitokea ilivyotabiriwa