Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Sironoi, Kimondi na Kapsisiywa huko Nandi walalamikia ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    751 views
    Duration: 1:29
    Wakazi wa Sironoi, Kimondi na Kapsisiywa katika kaunti ya Nandi wameitaka serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Chemuswo–Danger, ambayo imekwama kwa miaka mingi kutokana na kuongezeka kwa maji katika daraja la Sironoi–Kimondi.