Wakazi wa Sitikho huko Webuye walalamikia ubovu wa barabara

  • | Citizen TV
    116 views

    Waendeshaji wa bodaboda katika Wadi ya Sitikho, eneo Bunge la Webuye Magharibi, wameandamana kulalamikia hali mbaya ya barabara, wakitoa makataa ya siku tatu kwa viongozi wa eneo hilo kushughulikia barabara hiyo