Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Suguta Marmar waandamana kulamikia vifo vya kina mama na watoto

  • | KBC Video
    219 views
    Duration: 3:00
    Wakazi wa Suguta Marmar katika kaunti ya Samburu waliandamana na kufunga barabara ya Maralal-Nyahururu karibu siku nzima kufuatia kifo cha mama na mtoto wake katika hospitali ya Suguta Marmar Level Four. Waandamanaji sasa wanataka uwajibikaji dhidi ya kile wanachokitaja kuwa ongezeko la vifo vya kina mama na watoto wachanga katika eneo hilo. Aaron Marie ana taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive