Wakazi wa Taita Taveta watakiwa kupanua biashara za madini

  • | Citizen TV
    323 views

    Serikali ya Kaunti ya Taita-Taveta imetoa changamoto kwa wanohusika na biashara ya uuzaji wa madini ya mawe yaliyoongezwa thamani kutafuta nafasi za biashara katika maeneo tofauti kaunti hio ili kuinua biashara hiyo na kuinua uchumi wa kaunti hiyo.