Wakazi wa Taveta wanaishi kwa hofu

  • | Citizen TV
    633 views

    Wakazi wa Taveta kaunti ya Taita Taveta wanaishi kwa hofu ya kufurushwa kutoka kwenye ardhi yao baada ya wizara ya ardhi kununua ardhi ambapo maskwota walikuwa wakiishi kwa miaka mingi.