Wakazi wa Thika wapunguziwa dhiki ya matibabu

  • | Citizen TV
    131 views

    Wakazi wa eneo la Thika wamepata afueni ya matibabu ya kisasa baada ya hospitali ya Kimisheni Ya Mary kuzindua mashine ya kidijitali inayotumia kamera kufanya uchunguzi wa kimatibabu na upasuaji. Wanasema kuwa hatua hiyo itawapunguzia safari za kutafuta matibabu nje ya eneo hilo.